Posts

Showing posts from July, 2017

Shule Kumi(10) Bora Kitaifa 2017 Katika Mtihani Wa Kidato Cha 6 Hizi Hapa

Image
Hizi Ndio shule kumi bora mwaka huu FEZA GIRLS MARIAN BOYS KISIMIRI AHMES MARIAN GIRLS MZUMBE ST. MARY MAZINDE JUU TABORA BOYS FEZA BOYS KIBAHA bonyeza picha hapa chin kuangalia matokeo ya kidato cha sita

Breaking News:: Matokeo Ya Kidato Cha Sita 2017 Ingia Hapa Kuyaona Link hii inafunguka Kiurahisi

Image
Matokeo ya kidato cha sita nchini  yametolewa leo Jumamosi, Julai 15, yameonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu ambapo  kati ya wasichana 28,731 (38 asilimia) waliofanya mtihani, waliofaulu ni ni 27,577 (sawa na asilimia 97.21). Jumla ya watahiniwa 75, 116, walifanya mtihani huo Mei mwaka huu. Kwa upande wa watahiniwa wavulana,  waliofaulu walikuwa ni 42,975 (sawa na asilimia 95.34) kati ya  46,385.  Taarifa iliyotolea inaonyesha kuwa watahiniwa 58,556 (asilimia 93.72) walipata daraja la kwanza hadi la tatu. Kati ya hao, wasichana ni 22, 909 na wavulana ni 35,647.  “Mchanganuo wa ufaulu katika madaraja unaonyesha kuwa watahiniwa walipata daraja la 1-11  umepanda  kwa asilimia 0.59 kutoka asilimia 93.13 mwaka 2016 hadi 93.72 mwaka huu,” imesema taarifa hiyo na kuongeza; “Pia, ufaulu katika madaraja kwa upande wa wasichana umepanda ikilinganishwa na wavulana. Ubora wa ufaulu kwa wasichana ni asilimia 94.07 ikilinganishwa na asilimia 93.49 ya ...